You are here: Home NEWS Local News DIDIER KAVUMBAGU ATUA RASMI YANGA

DIDIER KAVUMBAGU ATUA RASMI YANGA

E-mail Print PDF

2012-08-04       08:37:28    VIEWED 1963 TIMES

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka timu ya Olympic Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu amewasili jana usiku na kujiunga na kikosi cha mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Young Africans Sports Club tayari kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya.

 

 

 

 

 

Didier Kavumbagu aliyechezea timu ya Olympic Atletico katika mashindano ya Kagame ya mwaka huu na kuifikisha timu yake hatua ya Robo Fainali, kabla ya kutolewa na timu ya URA ya Uganda.

Pamoja na timu yake kutolewa katika hatua ya robo fainali, Didier aionyesha kiwango cha hali ya juu ikiwa ni pamoja kufunga mabao yote mawili katika mchezo wa kwanza wa Ufunguzi wa mashindano ya Kagame dhidi ya Young Africans. 

Mchezaji huyu wa timu ya Taifa ya Burundi  amesajliwa kuichezea timu ya Young Africans kwa mkataba wa miaka miwili ambapo atakua mitaa ya twiga na jangwani mapaka mwishoni mwa msimu wa 2013-2014.

Kavambagu alizaliwa tarehe 02/05/1988 mjini Bujumbura na kuanza kucheza soka katika timu za mitaani kabla ya kuchaguliwa timu ya taifa ya vijana U-17 mwaka 2006 na kushiriki mashindano ya kombe la vijana CECAFA U-17 visiwani Zanzibar.

Alionyesha kiwango cha hali ya juu katika mashindano hayo na kupelekea kusajiliwa na timu ya Olympic Atletico ambapo ameitumikia mpaka mwaka huu alipoamua kuachana na yo na kujiunga na mabingwa wapya wa kombe la Kagame Young Africans Sports Club.

Young Africans imeanza jana mazoezi yake kwa ajiliya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara unaotazamiwa kuanza septemba mosi, na wachezaji wote wamehudhuria mazoezi jana na leo Didier amejumuika na wachezaji wenzake kufanya mazoezi chini ya kocha Mkuu Tom Saintfiet katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola. 

 

Last Updated ( Saturday, 04 August 2012 09:21 )  

 

   
  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

yanga1935: Droo ya makundi kwa ajli ya mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati al-maarufu kama (KAGAME CUP)... http://t.co/r2esjJLwtJ
yanga1935: Katibu Mkuu wa klabu ya Young Africans Lawrence Lawrence Mwalusako leo amemtambulisha rasmi kwa waandishi wa... http://t.co/fkfqNHiwz1
yanga1935: Green and yellow colours were dominant from the early hours of Saturday and it went on to be the dominant colours... http://t.co/sshr7bjgeQ
yanga1935: I posted 5 photos on Facebook in the album "CHAMP24NS" http://t.co/jw1L47m1kO
yanga1935: Sherehe za kukabidhiwa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2012/2013 kwa Mabingwa wapya Young Africans... http://t.co/S8GiejZjr7
yanga1935: Mpira umemalizika, Young Africans 2 - 0 Simba SC Kavumbagu ddk 4 Kiiza dkk 63
yanga1935: Dakika ya 89, Mpira umesimama kidogo, baada ya Nassoro Chollo kumsukuma Kavumbagu na wakati mwamuzi anamuulia kadondoka chini mwenyewe.
yanga1935: Dakika ya 85, anaingia Juma Abdul kuchukua nafasi ya Mbuyu Twite
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 2 - 0 Simba SC Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Simba SC Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
yanga1935: Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili Young Africans 2 - Simba SC
yanga1935: Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: KUMRADHI: bao la Yanga limefungwa na Didier Kavumbagu na sio Hamis Kiiza kama nilivyoandika awali
yanga1935: Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 28 Simba walipata penati, akapiga Mussa Mudde na kukosa
yanga1935: Dakika ya 15, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 4, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la kwanza
yanga1935: Mpira ndo umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya wenyeji Simba SC Vs Young Africans
yanga1935: Heres Young Africans line-up to face Simba SC today: 1.Ally Mustapha - 1 2.Mbuyu Twite - 6 3.David Luhende - 29... http://t.co/XRMv18Y3vR
yanga1935: Vodacom Premier Leagu 2012/2013 Simba SC Vs Young Africans Kick-off 16:00hrs Venue: National Stadium #Tukutane... http://t.co/gD7xNq3rFs
yanga1935: Kikosi cha Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo kimefanya mazoezi yake... http://t.co/V6JQZYaJud
yanga1935: @ProsperMasau tiketi zitaanzwa kuuza kesho steers posta, u/taifa, buguruni shelly, sinza madukani, benjamin mkapa secondary, darlive
yanga1935: Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajia kufikia ukingoni siku ya jumamosi kwa kuchezwa michezo 7 katika... http://t.co/1q5ABNzjjj
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday350
mod_vvisit_counterYesterday4469
mod_vvisit_counterThis week4819
mod_vvisit_counterLast week25564
mod_vvisit_counterThis month55034
mod_vvisit_counterLast month60138
mod_vvisit_counterAll days544064

We have: 73 guests, 2 bots online
Your IP: 107.22.127.92
 , 
Today: May 22, 2013