
R.I.P PATRICK MAFISANGO
2012-05-17 14:48:37 VIEWED 91 TIMES
Kiungo wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Rwanda, ambaye pia ni mchezaji wa timu ya Simba SC Patrick Mutesa Mafisango amefariki dunia alfajiri ya leo jijini Dar es salaam, kufuatia ajali iliyotokea eneo la Veta Chang'ombe.
Last Updated on Thursday, 17 May 2012 15:05
















