Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

Asamoah,Berko waenda mapunzikoni.

ARTICLE HITS: 773 TIMES

Wachezaji wa kimataifa kutoka nchini Ghana, Kenneth Asamoah na Yaw Berko wameondoka jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo kwenda nchini Ghana kwa ajili ya mapunziko ya muda mfupi. Wachezaji hao wameondoka baada ya Uongozi wa mabingwa wa soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati kutoa mapunziko ya wiki tatu kabla ya kuingia katika hatua nyingine ya mzunguko wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa inayoikabili Klabu ya Yanga ikiwemo mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika na michuano ya Kombe la Kagame. Akizungumza na www.youngafricans.co.tz , Afisa Habari wa Klabu ya Yanga,

Read more...
 

UHAI CUP kuanza tarehe11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande

ARTICLE HITS: 686 TIMES

Ligi ya vijana chini ya miaka 20 UHAI CUP inatazamiwa kuanza tarehe 11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande.
Ligi hiyo itashirikisha jumla ya timu 14 ambazo timu zao za wakubwa zinashiriki ligi kuu Tanzania Bara, timu hizo ni:
1.Young Africans B ,
2.Simba SC B,
3.Azam SC B,
4.Mtibwa Sugar B,
5.JKT Oljoro B,
6.Villa Squad B,
7.Moro United B,
8.African Lyon B,
9.Coastal Union B,
10.JKT Ruvu B,

Read more...
 

YANGA KUIVAA POLISI DODOMA

Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara leo kinatarajiwa kushuka dimbani kucheza na Police Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya VPL 2011/2012.
Mchezo huo utakuwa ni kumalzia mzunguko wa kwanza kwa timu zote amabapo Yanga ina point 24 ikiwa na nafasi ya pili na Police Tanzania ni ya 13 ikiwa na point 9.

Read more...
 

22 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA CHAD

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo ametangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Mchezaji aliyeitwa kwa mara ya kwanza ni kipa Mwandini Ally wa Azam huku pia akimjumuisha kwenye kikosi chake mshambuliaji wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), Thomas Ulimwengu. Read more...
   

Page 101 of 102

Facebook Twitter YouTube
  • FACEBOOK

  • TWITTER