";} /*B6D1B1EE*/ ?>

Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

22 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA CHAD

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo ametangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Mchezaji aliyeitwa kwa mara ya kwanza ni kipa Mwandini Ally wa Azam huku pia akimjumuisha kwenye kikosi chake mshambuliaji wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), Thomas Ulimwengu. Read more...
 

Kikosi kipo tayari kwa pambano dhidi ya Simba

Kocha mkuu Papic amewaambia wapenzi na wanachama wa timu ya Yanga kuwa kikosi cha timu hiyo kipo tayari kukabiliana na mnyama Simba katika pambano la mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Read more...
 

Tutawanyamazisha - Simba

Mabingwa wa soka kwa nchi za Afrikia Mashariki na Kati na mabingwa wa Tanzania Bara YANGA, Mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kushuka katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Read more...
 

YANGA NA SIMBA UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati na Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports Club,

Read more...
   

Page 99 of 99

  • FACEBOOK

  • TWITTER