Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

TBL YAKABIDHI VIFAA

2012-01-19 14:27:35 VIEWED 1005 TIMES

Kampuni ya Bia nchini Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager ambacho ndio mdhamini mkuu wa vilabu vya Simba na Yanga, leo imezipa timu hizo vifaa vipya vya michezo kwa ajili ya kuvitumia katika mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania 2011/2012, maarufu kama Vodacom Premier League ambayo imepangwa kuanza Januari 21, 2012.

Read more...
 

YANGA YAENDELEA NA MAZOEZI

2012-01-18 10:18:48 VIEWED 999 TIMES
Kikosi cha Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati na ligi kuu Tanzania bara,Young Africans Sports Club kimeendelea na mazoezi katika uwanja wa shule ya Sekondari Loyola kujiandaa na mzunguko wa wa pili wa ligi ya Vodacom unaotazamiwa kuanza siku ya jumamosi.
Read more...
 

YANGA SEALS A PROMO DEAL

2012-01-17 13:57:06 VIEWED 1282 TIMES

From left to right (Salim Rupia,Mwesigwa Selestine, Llyod Nchunga and Joseph Kusaga)

Young Africans Sports Club has signed an events management and Promotion deal with Prime Time Promotions in Dar es salaam today.

Read more...
 

YOUNG AFRICANS YAICHAPA 2-1 SOFAPAKA


VIEWED 1054 TIMES

Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati na ligi kuu Tanzania bara, Young Africans Sporst Club imeifunga timu ya Sofapaka FC kutoka nchini Kenya kwa mabao 2-1.

Young Africans iliyo onyesha soka safi na kucheza pasi nyingi ilifanikiwa kujipatia bao lake la kwanza dakika ya 29 kupitia kwa mchezaji bora wa mwaka nchini Uganda (2011) Hamis Kiiza 'Diego' kwa njia ya dhabu ya penati, mara baada ya naohodha wa timu ya Sofapaka James Situma kumchezea vibaya Davies Mwape katika eneo la hatari na mwamuzi kuamuru ipigwe penati.

Read more...
   

Page 96 of 99

  • FACEBOOK

  • TWITTER