YANGA YAELEKEA MISRI, KUIVAA ZAMALEK
2012-02-29 22:09:42 VIEWED 973 TIMES
Kikosi cha timu ya Yanga kinaondoka usiku huu majira ya saa 8 usiku kuelekea jijini Cairo, tayari kwa kuikabili timu timu ya Zamalek SC ya nchni Misri katika mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Barani Afrika.
Read more...



