";} /*B6D1B1EE*/ ?>

Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI

VIEWED 16469 TIMES

Uongozi wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea Young Africana mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA.

Read more...
 

YANGA YAWASILI DAR, KUIVAA ASHANTI KESHO

VIEWED 3549 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara Young Africans tayari wameshawasili salama jijini Dar es salaam wakitokea jijini Antalya nchini Uturuki walipokuwa wameweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na mashindano ya klabu Bingwa Afrika barani Afrika.

Read more...
 

YANGA YAENDELEA KUJIFUA, KUONDOKA KESHO UTURUKI

VIEWED 2454 TIMES

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeendelea na mazoezi ya asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Sueno katika kuendelea kujiweka sawa kabla ya kuanza safari kesho mchana ya kurejea nchini Tanzania tayari kwa mikikimikiki ya mzunguko wa pili wa VPL 2013/2014.

Read more...
 

YANGA 2-2 SIMURQ HIGHLIGHTS

VIEWED 2650 TIMES
Young Africans imekamlisha ziara ya kambi yake nchini Uturuki bila ya kupoteza mchezo hata mmoja baada ya leo kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya timu ya Simurq PIK inayoshiriki Ligi Kuu nchini Azerbajain katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Side Star Hotel Complex Manavgat jijini Antalya Uturuki.
Waweza tazama kipande cha mchezo wa jana pamoja na magoli yake kati ya Young Africans 2-2 Simurq PIK hapa
Read more...
   

Page 10 of 99

  • FACEBOOK

  • TWITTER