Club Highlight

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA YAINGIA MKATABA NA PRIME TIME PROMTIONS

VIEWED 1166 TIMES 

Klabu ya Young Africans leo imeingia mkataba na kampuni ya Prime Time Promotions ya jijini Dar es saaalm kwa ajili ya kuandaa shuguli za mkutano mkuu wa wanachama utakaofanyika Januari 19, 2013 ambapo kampuni ya Prime Time imetoa mil 105,000,000 kwa ajili ya kuratibu shughuli hiyo.

Read more...
 

YANGA YAENDELEA KUJIFUA

 VIEWED 1130 TIMES 

Kikosi cha Young Africans kimeendelea na mazoezi yake leo katika Uwanja wa Bora eneo la Mabatini Kijitonyama kujiandaa na safari ya ziara ya mafunzo nchini Uturuki wiki ijayo ambako pia itatumia nafasi hiyo kufanya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na kombe la Kagame.

Read more...
 

MKUTANO WA WANACHAMA, SASA KUFANYIKA JANUARI 19,2013

 VIEWED 1144 TIMES 

TAARIFA KWA WANAYANGA.

Klabu ya Young Africans ilikuwa ifanye mkutano Wanachama tarehe 08 Disemba 2012, kama ilivyokua imetangazwa na Uongozi hapo awali. Tunapenda kutoa taarifa kuwa tarehe ya mkutano huo sasa imebadilishwa na kusogezwa mbele hadi tarehe 19 Januari 2013 kwa sababu zifuatazo:

Read more...
 

YANGA YAENDELEA NA MAZOEZI

VIEWED 1365 TIMES 
Kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kombe la KAGAME timu Young Africans Sports Club,  leo kimeendelea na mazoezi ikiwa ni wiki ya pili katika uwanja wa shule ya Sekondari Loyola kujiandaa na maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na Kombe la Kagame mwakani mwezi Januari 2013. 
Read more...
   

Page 25 of 61

 

   
  • FACEBOOK PAGE

  • TWITTER FEEDS

yanga1935: Droo ya makundi kwa ajli ya mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati al-maarufu kama (KAGAME CUP)... http://t.co/r2esjJLwtJ
yanga1935: Katibu Mkuu wa klabu ya Young Africans Lawrence Lawrence Mwalusako leo amemtambulisha rasmi kwa waandishi wa... http://t.co/fkfqNHiwz1
yanga1935: Green and yellow colours were dominant from the early hours of Saturday and it went on to be the dominant colours... http://t.co/sshr7bjgeQ
yanga1935: I posted 5 photos on Facebook in the album "CHAMP24NS" http://t.co/jw1L47m1kO
yanga1935: Sherehe za kukabidhiwa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2012/2013 kwa Mabingwa wapya Young Africans... http://t.co/S8GiejZjr7
yanga1935: Mpira umemalizika, Young Africans 2 - 0 Simba SC Kavumbagu ddk 4 Kiiza dkk 63
yanga1935: Dakika ya 89, Mpira umesimama kidogo, baada ya Nassoro Chollo kumsukuma Kavumbagu na wakati mwamuzi anamuulia kadondoka chini mwenyewe.
yanga1935: Dakika ya 85, anaingia Juma Abdul kuchukua nafasi ya Mbuyu Twite
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 2 - 0 Simba SC Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
yanga1935: Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Simba SC Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
yanga1935: Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili Young Africans 2 - Simba SC
yanga1935: Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: KUMRADHI: bao la Yanga limefungwa na Didier Kavumbagu na sio Hamis Kiiza kama nilivyoandika awali
yanga1935: Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 28 Simba walipata penati, akapiga Mussa Mudde na kukosa
yanga1935: Dakika ya 15, Young Africans 1 - 0 Simba SC
yanga1935: Dakika ya 4, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la kwanza
yanga1935: Mpira ndo umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya wenyeji Simba SC Vs Young Africans
yanga1935: Heres Young Africans line-up to face Simba SC today: 1.Ally Mustapha - 1 2.Mbuyu Twite - 6 3.David Luhende - 29... http://t.co/XRMv18Y3vR
yanga1935: Vodacom Premier Leagu 2012/2013 Simba SC Vs Young Africans Kick-off 16:00hrs Venue: National Stadium #Tukutane... http://t.co/gD7xNq3rFs
yanga1935: Kikosi cha Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo kimefanya mazoezi yake... http://t.co/V6JQZYaJud
yanga1935: @ProsperMasau tiketi zitaanzwa kuuza kesho steers posta, u/taifa, buguruni shelly, sinza madukani, benjamin mkapa secondary, darlive
yanga1935: Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajia kufikia ukingoni siku ya jumamosi kwa kuchezwa michezo 7 katika... http://t.co/1q5ABNzjjj
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday1122
mod_vvisit_counterYesterday3273
mod_vvisit_counterThis week16735
mod_vvisit_counterLast week19559
mod_vvisit_counterThis month59079
mod_vvisit_counterLast month60138
mod_vvisit_counterAll days548109

We have: 23 guests, 4 bots online
Your IP: 107.22.156.205
 , 
Today: May 23, 2013