Club Highlight

 

Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times.

You are here: Home

The Official Website of Young Africans Sports Club

YANGA YAICHAPA STAND UTD 3-0

VIEWED 0 TIMES

Young Africans imewachapa wenyeji timu ya Stand United kwa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika jioni ya leo katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, huku mshambulaji Jerson Tegete akibuka mchezaji bora wa mchezo kwa kukwamisha wavuni mabao mawili peke yake.

Read more...
 

YANGA YAWASILI SHINYANGA, KUIVAA STAND KESHO

  VIEWED 976 TIMES

Msafara wa watu 40, ukiwa na jumla na jumla ya wachezaji 28 wa kikosi cha kwanza wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili salama mjini Shinyanga na kupokelewa na wapenzi, washabiki na wanachama wa timu hiyo katika eneo la Tinde (km 35) kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Stand United.

Read more...
 

YANGA, SIMBA ZATOKA SULUHU

 VIEWED 1759 TIMES

Mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Vodacom uliowakutanisha watani wa jadi Young Africana kutoka eneo la Jangwani na Simba SC kutoka eneo la msimbazi jijini Dar es salaam umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana (0-0), mtanange uliofanyika jioni ya leo kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
 

YANGA YAENDELEA KUJIFUA

 VIEWED 2404 TIMES

Kikosi cha kocha Mbrazil Marcio Maximo kimeendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom siku ya jumamosi dhidi ya timu ya Simba SC, kipute kitakachofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Read more...
   

Page 1 of 116

 • «
 •  Start 
 •  Prev 
 •  1 
 •  2 
 •  3 
 •  4 
 •  5 
 •  6 
 •  7 
 •  8 
 •  9 
 •  10 
 •  Next 
 •  End 
 • »

 

 • FACEBOOK

 • TWITTER