
SIMBA, YANGA KESHO TAIFA
VIEWED 934 TIMES
Kikosi cha Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Ole kisiwani Pemba ikiwa ni maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya timu ya Simba SC jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...

















