
Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 24 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 5 times. |


VIEWED 583 TIMES
Timu ya Young Africans leo imefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa shule ya sekondari ya Loyola - Mabibo ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya timu ya JKT Oljoro, mchezo utakaofanyika katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...
VIEWED 581 TIMES
Kikosi cha timu ya Young Africans Sports Club leo kimeendelea na mazoezi ya asubuhi katika uwanja wa shule ya sekondali ya Loyola ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa pili dhidi ya timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha mchezo utakaofanyika jumamosi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...
VIEWED 837 TIMES
Vinara wa Ligi Kuu ya Kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) timu ya Young Africans Sports Club leo imeendelea na mazoezi ya asubuhi katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola - Mabibo ikiwa ni maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya timu ya JKT Oljoro kutoka Arusha siku ya jumatano katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...Page 7 of 61







![]() | Today | 976 |
![]() | Yesterday | 3568 |
![]() | This week | 28861 |
![]() | Last week | 19559 |
![]() | This month | 71205 |
![]() | Last month | 60138 |
![]() | All days | 560235 |