
YANGA Vs JKT RUVU KESHO
VIEWED 670 TIMES
Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara na Mabingwa mara 23 wa Ligi Kuu timu ya Young Africans kesho siku ya jumapili watashuka dimbani kucheza na maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT Ruvu Stars) kutoka mkoa wa Pwani mchezo utakaofanyika majira ya saa 10 jioni kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Read more...
















