Ili mtu aweze kuwa mwanachama wa Young Africans Sports Club inapaswa kutimiza hivi vifuatavyo:
Udhibitisho kama kweli ana mapenzi na Yanga
Umri kuanzaia miaka 18 na kuendelea
Picha 4 za pasport size
Malipo ya kadi ya uanachama ni tshs 14,000/=, malipo yanafanyika Bank ya CRDB Akaunti 01J0 95095801, kisha utaambatanisha nakala ya malipo kwa mwenyekiti wa tawi/katibu wa tawi.